Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
MILOB: Mwangalizi wa kijeshi wa Umoja wa Mataifa asiye na silaha, anayefuatilia na kuripoti hali ya usalama.
CIM: Uratibu kati ya wanajeshi wa UN na wadau wa kiraia (serikali za mitaa, mashirika yasiyo ya kiserikali, jamii).
WPS: Ajenda ya Umoja wa Mataifa ya Wanawake, Amani na...
Ni kituo cha mafunzo ya ulinzi wa Amani kilichopo nchini Tanzania
Kituo hiki kinashughulika na Mafunzo ya Ulinzi wa Amani kwa Maafisa na Askari na Raia wanaotegemewa kwenda kushiriki kwenye shughuli za Ulinzi wa Amani katika nchi mbalimbali zenye migogoro na vita barani Afrika na Duniani kote .